Saturday, May 17, 2014

MHASHAMU BABA ASKOFU MKUU MTEULE DAMIAN DENIS DALLU APOKEWA KWA SHANGWE SONGEA

Mhashamu Baba Askofu mkuu mteule Damian Denis Dallu akiwa kwenye gari la wazi kwa ajili ya kuwasabahi wakazi wa mkoa wa Ruvuma waliojitokeza barabarani ikiwa ni ishara ya upendo baada ya kupokelewa kijiji cha Lukumburu ambacho kipo mpakani kati ya mkoa wa Njombe na Mkoa wa Ruvuma

2 comments:

Nicky Mwangoka said...

Hongereni wana Songea kwa kumpata Baba Askofu Mkuu Mpya. "Iende mbele Injili.."

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana..na mwenyezi Mungu na amlinde aweze kuifanya kazi yake vema