Monday, May 19, 2014

JUMATATU YA LEO TUANZE NA CHANGAMOTO HII KUHUSU NCHI ZETU ZA AFRIKA!!!!

SWALI:- Je? ni nchi gani/zipi  haina/hazini  herufi A katika bara la Afrika?
NAWATAKIA KILA LA KHERI. PAMOJA DAIMA!!!

18 comments:

Anonymous said...

Ni nchi 55 ndani ya Africa zisizoanzia na herufi 'A'. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu ...unafikiri unaweza kuzitaja.?

Anonymous said...

Kama utatoa zawadi, nitazitaja! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Zawadi itatolewa ...usikonde

Interestedtips said...

hahaha dada.....umenifurahisha

EGYPT
NIGER
CONGO
MOROCCO
IVORY COST
BURUNDI
wengine waendelee

Yasinta Ngonyani said...

Hongera sana mama Alvin... nimefurahi kama nimekufurahisha:-)...

Anonymous said...

SUDAN
RWANDA
MALAWI
KOMORO
JIBUTI
ETHIOPIA
ERITREA
KENYA
UGANDA
TANZANIA
MALAWI
MSUMBIJI
RWANDA
SHELISHELI
SOMALIA
SUDAN
KAMERUN
CHADI
GABON
NIGERIA
BENIN
GHANA
JAMHURI YA KONGO
MISRI
MOROKO
TUNISIA
BOTSWANA
NAMIBIA
LESOTHO
USWAZI
BURKINA FASO
GAMBIA
GUINEA
GUINEA BISSAU
LIBERIA
MALI
NIGER
SENEGAL
TOGO
SIERRA LEONE
MAURITANIA

HIYO ZAWADI NADHANI NITAIPATA MIE. NAOMBA UNIWAHISHIE DADA MAANA NINA NJAA SANA SANA! AAH...

Anonymous said...

We wa hapo juu unaedhani utaipata zawadi, mbona hujataja kwa Gaddafi! Hivyo mshindi ni mimi. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka salumu naona hii zawadi itakuwa ya mama Alvin..

Anonymous said...

Da Yasinta mi sitaki zawadi kubwa. Unipikie maboga matamu kutoka bustani yako bas!By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Wala usikonde...maboga utapata yaani ww kaka Salumu ni kama vile uliingisa kichwani mwangu na kusoma mawazo yangu ni zawadi ipi iwe.

Yasinta Ngonyani said...

Ngoja nami niongozee nchi ambazo hazina herufi A...ni Togo, Benin, Lesotho, Shelisheli, Djibouti, Comoro na Msumbiji

Anonymous said...

Mh jamani dada Yasinta leo umekuwa mbaguzi tena wa rangi! aaah: Yaani nimetaja nchi zote kasoro Libya tu, yaani 54 na hata kuongelea comment yangu hakuna, ama kweli waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba, mana naona unasema zawadi itaenda kwa mama Alvin sijui kwa kuwa mie ni anonimasi! Sasa huyo mama Alvin kataja nchi 6 tu. Mie nimetaja 54 halafu hata husemi kitu sawa. Ila pia umeniudhi kurudia nchi niliishazitaja na sijui kwa nini! angalia nchi ulizotaja zote nimezitaja. Haya ntakuwa si comment kama umeanzisha ubaguzi. Leo sijapenda utaratibu wako na kaka Salum umenichekesha sana sana. Ila sasa kwa kutaja moja napo hapana bado nasubiria mtoa zawadi ampe mama Alvin, duh...nilivohangaika kuzichapa hizo nchi kumbe dada hakuwa anahitaji majibu sahihi yaani kutaja nchi zote. Usiku mwema.

Anonymous said...

Ntapumzika kutoa comment kwa muda. Mie ni anonimasi wa hapo juu mwenye nchi nyingi. Natumaini dada Yasinta sio mwalimu mzu´ri kabisa maana anadesa kwa mwanafunzi wake, nchi nimetaja na yeye kazirudia, mwl asiye makini! Kingine hataki kumsifia anayefanya vizuri, anasifia wenye marks za chini, siku ingine hakuna haja ya kujibu maswali yako, na ndio maana kaka Salum aliamua kuacha mpaka ajue kama kuna zawadi ila nadhani aliona uvivu kuzitaja. Sikutegemea kutotajwa kabisa yaani! embu kavae hata miwani ya jua usome hizo nchi nyingi nilizotaja dada. Kama huna ya jua itabidi uazime.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! Swali linasema Nchi ambazo katika kuandika herufi A haipo sio nchi ambazo zina A, hivyo ndivyo swali lilivyoulizwa

Bashikulu Mligo said...

Kwa kuwa mimi ni mtaalamu sana wa mambo hayo nikwambie tu mojawapo ya nchi hizo ni Lesotho (hapa herufi A haipo), nyingine ni Egypt, enhee na hapa jirani tu kuna Congo na Burundi. Aa zipo nyingi tu, si unaona ee nimeshakushinda nipe zawadi yangu sasa hivi.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mligo..umechelewa kido tu:-) ila utafikiriwa

Interestedtips said...

kaka hapo juu zawadi yangu. kwanza hujaelewa swali. wewe umetaja nchi zenye herufi A, wakati dada Yas kasema tujaje nchi zisizo na herufi A


hehehehe