Wednesday, January 8, 2014

MWANAMTINDO WA WIKI HII NI HUYU HAPA.....EBU MWANGALIE ALIVYOPENDEZA ..BINAFSI NIMEPENDA PICHA HII MNO:-)!!!!

Nimependa sana picha hii...ni kama ule wimbo wa Lady jaydee ..natamani kuwa malaika ..natamani tena kuwa mtoto..Miaka hii unaweza kuwapiga watoto wako picha na kuwa kumbukumbu kubwa sana ...Natamani huyu mtoto angekuwa mimi kwani sina picha ya umri huu...Picha hii ni kwa hisani ya dada Nancy Sumari nimeipata HAPA. MUWE NA SIKU NJEMA

3 comments:

Unknown said...

Dah sio siri kapendeza Sana...

Anonymous said...

Mtoto mzuri sana. Bahati mbaya sana dada Yasinta utoto haujirudii!

Yasinta Ngonyani said...

Dada Nancy! si uonga binti ametokezea:-)
Usiye na jina! Ni kweli Sitarudia tena utotoni ndo kwanza naelekea uzeeni..Ila unaweza kuwa na ndoto kama ningekuwa mimi....:-)