Thursday, January 2, 2014

HIVI NDINYO MWAKA 2014 ULIVYOPOKELEWA NA BAADHI YA WATU/TULIALIKWA NA MARAFIKI

 CHAKULA KILICHOANDALIWA,  VIAZI NYAMA NA ASPARAGUS
 SHEREHE INAENDELEA .....
 BADO TUNAKULA NA MAONGEZI YANAENDELEA ...................................
MAMA NA MTOTO WANATAFAKARI MWAKA 2013.......Napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda/kutulinda watu wote ambao tumeuona mwaka huu 2014. Kwa mara nyingine KHERI SANA KWA MWAKA MPYA 2014....UWE WENYE AMANI NA MAFANIKIO.

5 comments:

Anonymous said...

Heri ya mwaka mpya 2014.
Picha ya kwanza juu kabisa, siwaoni wanao, uliwaacha wapi?
Picha ya pili jamani huyo ni Erick au macho yangu yanahitaji miwani ili kumuona vizuri? Hingera kukuz ayaani amekuwa mkubwa sana na amebadilika sura imekuwa kama ya mama yake kabisa sasa! Na unywele mwingi unampendeza sana. Vipi mbona simuoni Camilla! Au amefungia mwaka wapi yeye_ Wasalimie sana wamao, wape heri ya mwaka mpya 2014.

Nancy Msangi said...

Tunashukuru Da yasinta nawe twakutakia heri na mafanikio mema 2014. Amina..

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante sana TWAMSHUKURU MUNGU TUMEUONA. Ni kwamba hawakuwepo na huwa hawapendi sana kama mimi kupigwa picha..hata hapo kaka Erik tulimnasa skweli Na ndio ni erik wala huhitaji miwani Camilla alibaki nyumbani na marafiki.

Nanc!! Ahsante nawe pia uwe na mafanikio mema.

EDNA said...

Eric amekuwa mkaka, na mlipendeza sana.

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ...ndiyo kawa kijana mkubwa