Thursday, January 16, 2014

SERENGETI/TANZANIAKARIBUNI TANZANIA YETU...KILA ALHAMIS TUTAKUWA TUKITEMBELEA MBUGA MBALIMBALI TANZANIA...TUONANE TENA ALHAMIS IJAYO...

4 comments:

Ester Ulaya said...

utalii wa ndani oyeeee.....safi sana dada

ray njau said...

Karibu Tanzania na mpate furaha ya uoto wa asili na viumbe mbalimbali wenye kupendeza.Tanzania,Tanzania nakupenda.....................

nicky said...

Umenikumbusha mbali yaani. Asante dada ila nikumegee tu..siku moja tulikuwa twasafiri kwenda mwanza kwa kupitia katika mbuga ya Serengeti. Tukipofika maeneo karibu na Kirawira Gate jamaa mmoja akaomba achimbe dawa. Gari kusimama eti akawa anakimbilia porini akaambiwa utakuwa kitoweo sasa hivi.... Hapo hapo panafaa. Kurudi kwenye gari hatua chache baadae tukakutana na kundi la wafalme wa pori. Mmm mbona angeiona ahera!

emu-three said...

Kweli wageni karibuni sana tanzania, kisiwa cha utajiri wa asili