Thursday, January 30, 2014

KAMA KAWAIDA NI ALHAMIS LEO...TWENDE MPAKA MBUGA YETU YA RUAHA ILIYOPO KUSINI MWA TANZANIA!!!!!!!


Mbuga ya Ruaha :- Mbuga hii ni nzuri na ndogo ambayo haijulikani sana kana SERENGETI au NGORONGORO. Ipo kusini wa Tanzania, kama uonavyo kuna simba, tembo, nyati, twiga na wanyama wengine wengi wa pori ambao wanaipendezesha Mbuga hii kwa ukamilifu mazingira yetu ya Afrika/Tanzani....ALHAMIS IJIYO NA MBUGA MPYA...

2 comments:

Ester Ulaya said...

Nimefanya kazi hiyo Mbuga mwaka 2008/2009...kuna tembo wakubwa sanaaa.....ni mbuga kubwa...wanyama wazuri...raha sana....asante dada kunikumbusha.....nimetamani kwenda tena

Yasinta Ngonyani said...

Nafurahi kama umekumbuka mengi katika Mbuga hii. Ukirudi nitakuwa nakyputia niendapo kunyumba /Songea...