Wednesday, January 29, 2014

NIMEPENDA VITU/FANICHA/SAMANI HIVI/HIZI VYA /ZA ASILI VINAVUTIA NA NI IMARA..EBU ANGALIA

Kama kuna mtu anafahamu wapi vinapatikana nitashukuru kupata taarifa. Nilisikia vinapatikana Mfaranyaki/Songea kwetu  nimeulizia sijafanikiwa.....PAMOJA DAIMA.JUMATANO NJEMA PIA JIONI NIJEMA.

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Hatamimi nimevipenda sana..wazima huko lakini?

Yasinta Ngonyani said...

Kachiki wa mimi umepitea mno kama sumni. Sie wazima kabisa sijui huko?