Friday, August 2, 2013

IJUMAA YA LEO TUANGALIE BAADHI YA MISEMO YA KANGA..

1. Upendo na Amani Ametujalia Mungu
2. Likinifika nitakujibu.
3. Usimwingilie aliyepewa kapewa.
4. Kuolewa ni sheria kuzaa ni majaliwa.
NAWATAKIENI WOTE JIONI YA IJUMAA HII IWE NJEMA NA MWANZO MWEMA WA MWISHO WA WIKI......Kapulya

6 comments:

ray njau said...

Huu ni utamu wa lugha ya Kiswahili na waswahili na kiswahili chao.

Yasinta Ngonyani said...

Nimependa kiswahili hiki cha waswahili na kiswahili chao.

Kiu ya Haki said...

Vikao kaeni Umbea acheni.

Baraka Chibiriti said...

Asante nawe pia Dada Yasinta au Mama, Ijumaa njema.
Na asante kwa ujumbe mzuri.

Unknown said...

Asante, Da yasinta jioni njema na kwako pia

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta hili si eneo langu la kujidai. Hivyo, sitaacha unyayo kama kawa ingawa utajua nilipita.