Sunday, August 25, 2013

NI DOMINIKA YA 21 YA MWAKA C..WATOTO


Watoto wana hali ya kimbingu. kwani wana kila sababu: unyofu. utulivu. amani, upendo, furaha, mapatano. umoja, ushirikiano. usikivu na unyenyekevu. Ndiyo maana hata Bwana wetu yesu Kristu alisema: "Waacheni wadogo waje kwangu." Hali hii inatakia kwa kila mmoja wetu ili baada ya maisha haya ya sasa tukafurahi pamoja na Mungu katika utatu, milele yote mbinguni.
JUMAPILI NJAMA

2 comments:

Ester Ulaya said...

Asante kwa ujumbe mzuri kuhusu watoto, ni kweli usemalo, uwe na siku njema

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Ahsante ...nimeona tusiwasahau watoto kwani wao ni viongozi wa kesho..jumapili yangu iliishia kazini:-)