Sunday, August 11, 2013

JUMAPILI HII TUANGALIA HADITHI YA MAISHA YA YESU KWA KIBENA!!!

UDALIKE uliyerekodi hii kwa kibena. Nimefurahi kweli kusikia LUGHA YA KIBENA kwa mara nyingine nimejisikia kama nipo ubenani. HAYA NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA UPENDO NA AMANI PIA UTULIVU UTAWALA KATIKA NYUMBA ZENU. KRISTU NI TUMAINI LETU.

5 comments:

Anonymous said...

Udalike ve mwana va vene,nyee.Be ng'ina va Eliki.Uhungilage vondi uho(Asante kwa kuweka link hii ewe mama Erick.Wasalimu wote huko)

Anonymous said...

Umutwa akufunyage vemuyawee. Yaani leo hii sijaamini macho na sikio yangu nimesikia kama nipo na Mchungaji Kingililwe!!! hapo Ikuna - Njombe. Asante sana Mungu awabariki. Amina

Anonymous said...

Mudalike swee nyevondi.Ulutengamaso lwa Mutwa luvedze nanye.

Yasinta Ngonyani said...

Mudalike kupita hapa na kuyandika ga mumutima......hapa naonaa nomechemsha nomeanza kusahau kibena changu ola naelewa sana Kuandika ndo shughuli

Anonymous said...

mudalihe nyame na malimo ago ga Nguluvi. Sijawahi kuipata ibada iliyo katika lugha ya Kibena, kumbe ujumbe ukija kwa namna tofauti tofauti unasisimua zaidi mioyo.
Inguluvi yivatangage nyiwonda..!
Arca Mtewele