Monday, August 19, 2013

JUMATATU HII TUANZA NA MWANADADA HUYU NA UVAAJI WA MIWANI...MTINDO


Mdada huyu si mpenzi wa mikanda tu ni mpenzi wa kuficha sura yake pia ila si wakati wote ni mara chache. Angalia picha hizi
...Hapa ni Jangwani mwamzoni mwa mwaka huu ilikuwa Raha sana

Hapa ilikuwa 2010 
NAWATAKIENI JUMATATU NJEMA. Hapa ni Silver sands Dar es salaam 2011

8 comments:

ray njau said...

Huu ni ubunifu ndani ya ubunifu kutoka kwa watu wenye ubunifu katika ardhi ya wabunifu na ubunifu wao.

Anonymous said...

Umependeza kwelikweli da Yasinta. Unafaa kuiwakilisha taifa letu kwenye michuano ya ubunifu New York! By Salumu.

Nancy Msangi said...

Dah umefunika Da yasinta,umependezajee

EDINA-MIKAELA JOHNSEN said...

Yasinta nimependa zaidi picha ya katikati.Umetokea kama mtu anayejiamini na nina amini ndivyo ilivyo.
Ha det så bra.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray! Ahsante .
Kaka Salumu ! Umenichekesha kweli:-) ngpja labda nijaribu

Nancy! Ahsante ndugu yangu.

Edna! Ahsante ....inawezekana ni kujiamini. Ha det bra du med.

Ester Ulaya said...

miwani inakupendeza dada, safi sana

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante Edna! Ni furaha upo nasi tena na nakutakia mapumziko mema.

Ester Ulaya said...

asante dada