Friday, August 30, 2013

IJUMAA YA LEO TUSIKILIZE ZILIPENDWA ...MAYASA

NAWATAKIENI WOYE MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA HILI. NA NAPENDA KUMSHUKURU MWENYEZI MUNGU KWA WEMA WAKE KWA WATU WOTE. ....IJUMAA NJEMA SANA!!

8 comments:

Ester Ulaya said...

Asante sana dada, nawe pia

NN Mhango said...

Da Yacinta umenikumbusha mbali. Hakika uzuri ni wa kuzaliwa nao. Turidhike na jinsi tulivyoumbwa badala ya kujimaliza na madawa hatari kwa ngozi na mwili. Hakika Marijani alikuwa Jabali.
Nakutakia wikendi njema.

Yasinta Ngonyani said...

Ester! Shukrani sana.

Mwal/kaka Mhango yaani miziki ya zamani ilikuwa na ujumbe wa kueleweka. Nakumbuka marehemu mama alikuwa akiimba utadhani yeye ndiye mtunzi....zamani kweli zilipendwa.

Anonymous said...

Miziki zilipendwa ndio mpango mzima sio hizi za siku hizi wanazoita sijui breki dansi, sijui nini. By Salumu.

ray njau said...

Asante nawe pia!!

Anonymous said...

Dada Yasinta, je wewe ni yule Yasinta wa Wilima Sekondari miaka ya 90? Wakati huo mimi (Sylvester Haule) nikiwa Mifugo Madaba. Kama, ndiye, ninahitaji kuwasiliana nawe ili unisaidie kuwapata ndugu walioko Sweden. Nitakupa maelezo zaidi ikiwa sijakosea kuwa ni Ngonyani wa Klyson. Kwasasa niko Copenhagen nikifanya masomo ya juu. Unaweza kuniandikia kwa email haulesc@gmail.com, au sh@ifro.ku.dk Asante.

Salehe Msanda said...

Habari.
Asante kwa kutukumbusha kuhusu wimbo wa maerhemu marijani Rajabu Jabali la Muziki.
Safari nyingien weka mwanameka au masuudi amekuwa jambazi.
Mapumziko mema.

Yasinta Ngonyani said...

Karibu kaka Ray!

Sylvester Haule..hakika milima haikutani bali wanadamu hukutana..Niye mimi hasaa
Kaka Msanda!! wala usikonde nitaweka tu ahsante kwa chango wako....