Saturday, July 13, 2013

UJUMBE WA JUMAMOSI YA LEO TOKA KWA KAPULYA NI HUU....

Ukimya wa rafiki yako  unauma kuliko hata kueleza  maadui zako/wako.
JUMAMOSI NJEMA!

2 comments:

Unknown said...

Jumamosi njema na kwako, yaa Ni kweli

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ...nancy...