Friday, February 8, 2013

MWANADADA NA MIKANDA YAKE..MWANAMTINDO WA WIKI!!

 Hapa alianza na mkanda wa kipepeo mwaka 1992 hakika zilipendwa haswaaaaaa.................
 .....................akaona ngoja ajaribu na mkanda wa kitaifa  si mbaya au??? 2011
,,,,na leo 2013 yupo na mkanda mwingine, inaonekana anapenda sana mikanda huyo dada...ni kweli:-)
nawatakieni IJUMAA NJEMA NA MWISHO WA WIKI UWE MWENYE FURAHA NA UPENDO KWENU PAMOJA NA MAJIRANI ZENU. TUPO PAMOJA.

13 comments:

Anonymous said...

Mwana mitindo bab kubwa!!
By Salumu.

ray njau said...

Hakika maisha na mafanikio ni safari ndefu na mapito yake ni kwenye milima,mito na mabonde.Hongera sana da'Yasii na hakika umependezaaaaaaaaaaaaaaa!!

Rachel Siwa said...

Na hiyo mikanda inamtoa vyema kabisa....nanyi muwe na wakati mwema.

batamwa said...

wakola dada wa mikanda,inakupendezesha yaani kwetu huko tunaita "OMWEKO" yaani mama wa ukweli na mwanamke wa kiafrika lazima awe na Omweko.....

ray njau said...

Asante sana dada Rachael kwa kuvunja ukimya maana binadamu tumejenga mazoea ya kukosoana kwenye mabaya na kusahau kupongezana kwa yaliyo mema.Binti wa watu kapendeza basi acha apewe sifa zake asisome yeye mwenyewe akiwa na uhai wake.Hongera na pongezi sana ni kwako Yasinta Kapulya Dadi Ngonyani.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! Ahsante sana

Kaka Ray! kweli kabisa hii safari ni ndefu mno ..Ahsante

KACHIKI... usengwili..
batamwa! ulikuwa wapi nimekumiss...ahsante bwana

Kaka Ray kwa mara nyingine ahsante sana kwa yote

Samuel Albert said...

Beautiful Ngoni lady! Beautiful pictures indeed.

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Dada Yacinta umependezi!!!

mumyhery said...

Mama erick umependeza sanaaaa!!!

Yasinta Ngonyani said...

Bro Samweli..Thank you very much...

Mwl. Mhango! Ahsante:-)

Dada wangu M! Nimekumiss kweli..Ahsante kwa kuona nimependeza..

EDNA said...

Na mimi itabidi nianze kuvaa mikanda sasa, maana imenogesha mpaka naona wivu.

Yasinta Ngonyani said...

Edna! ulipotea karibu tena mwala usione wivu we anza tu...

Interestedtips said...

HIYO MIKANDA NIMEIPENDA, HALAFU HAIISHI FASHION KABISAAAAA....IMEMPENDEZA MWANA DADA