Sunday, February 3, 2013

NAWATAKIENI WOTE JUMAPILI NJEMA NA IWE YA UTULIVU...

Kucheka hakuna majira, chenye majira ni kulimo. Msemo huu hutufundisha kuwa, mtu anaweza kucheka wakati wowote anapoona kuwa pana haja ya kucheka. Lakini, kilimo kina majira yake.Tusiwe wavivu, tufanye kazi. Mungu atatusaidia. JUMAPILI NJEMA SANA NDUGU ZANGU WAPENDWA.

3 comments:

Ester Ulaya said...

black is beautiful...............nawe pia dada, salimia familia

Yasinta Ngonyani said...

Yaani Ester umenena kweli kabisa na kuna wengi wanatamani ngozi yetu...Salamu zimefika nawe na shemu muwe na jumapili njema na yenye amani.

Rachel siwa Isaac said...

Asante..KADALA, Nanyi iwe njema na baraka kwenu na woote wapitao hapa.