Monday, February 4, 2013

SARESARE MAUA ASIYEJUA KUCHAGUA KABILA YAKE...au???

 Unaweza kushona shati pia kama kaka Kitururu alivyofanya si unaona kapendeza mwenyewe......
 .....na halafu kama kawaida unaweza kushona gauna kama uonavyo hapa  safi kabisa
aise na hapa pia unaona gauni..kitenge kimoja ila tofauti hasa rangi zake kinapendeza kwa kweli ....Jumatatu njema jamani.

4 comments:

Ester Ulaya said...

...........kabila yake mziguaaaaaaa

kweli wamependeza duh

ray njau said...

"Kupanga ni chaguo na chaguo ni kupanga".Ubunifu na umakini ukiwepo kila jambo lawezekana kwa wakati wake!

Yasinta Ngonyani said...

Ester kumbe unakumbukumbu wewe...nimecheka kweli hapa na kukumbuka jinsi tulivyokuwa tunaimba kwa kujidaiiii..

kaka Ray..ni kweli hakuna lisilowezekana na kila kitu kweli na wakati wake.

Mija Shija Sayi said...

Hivi wazigua waliwakosea nini watu hadi kupewa sifa hii... Chaajabu nao wanaonekana kuifurahia sifa hii..

Pamoja daima..