Friday, February 15, 2013

IJUMAA..TUSISAHAU TULIKOTOKA...UTAMADUNI WETU!!!

Kwa kawaida huwa napenda kusikiliza mziki ambao sielewi wanasema nini kwangu haina shida..kwa mfano hapa sijui wanasema nini ila nimependa sana na hapa nipo hoi ...najua hata wewe utapenda haya twende pamoja ....IJUMAA NA MWISHO WA WIKI UWE MWEMA KWA WOTE!!!!

4 comments:

ray njau said...

Ngoma zetu na Yasinta Ngonyani.

Yasinta Ngonyani said...

Yaaani hakuna kitu kinachonipendeza kama ngoma za asili..eeehhhh haya twendeeeee!!!raha kweli hata kama huelewi ila mdundiko moto kweliiii-----

ray njau said...

@Yasinta:
Je; jasiri haachi asili na muacha asili ni hasidi na hana akili???

Godlisten Silvan said...

Asante kwa kutukumbusha jambo Zuri tusisahau tulikotoka