Monday, February 18, 2013

KULA MATUNDA NI MUHIMU KWA AFYA ZETU..TUSISAHAU

Matunda ya aina mbalimbali ni muhimu kwa afya zetu...tujaribu kuzingatia kula matunda ,,ikiwezekana kila baada ya mlo JUMATATU NJEMA KWA WOTE...

5 comments:

Ester Ulaya said...

Asante sana kutukumbusha, ukweli matunda ukiyazoesha mwilini hata magonjwa ya mara kwa mara hupati

Yasinta Ngonyani said...

Ni kinga nzuri kweli ya kujikinga na magonjwa mbalimbali...hata tunda moja kwa siku itakuwa vema sana

ray njau said...

Hakika huo ndiyo ukweli wenyewe kuhusu matunda.

Anonymous said...My homeρage payday loan online
my website > payday loan,

Shalom said...

Jamani kweli matunda ni muhimu sana