Sunday, February 24, 2013

MUWE NA JUMAPILI NJEMA SANA UKIPATA WASAA SIKILIZA WIMBO HUU UTAMU WA YESU NA DADA ROSE MUHANDO!!!


Ni Jumapili nyingine tena na pia ni ya mwisho katika mwezi huu wa pili/februari..bado kama jumapili nne tu na itaqkuwa pasaka...NAWATAKIENI WOTE KWARESMA NJEMA NA WALE WATAKAO/WANAOFUNGU KILA LA KHERI.

5 comments:

Shalom said...

Asante nawe pianakutakia jpili njema na yenye baraka tele, utamu wa yesu nimependa sana.

Yasinta Ngonyani said...

Shalom! nina imani jpili yako imeanza vema...ahsante kwa kunitakia mimi pia..ndiyo utamu wa yesu..eeehh

Shalom said...

Yani dada imeanza na utamu kwelikweli bila shaka hata ww umemwemwereka ipasavo.

sam mbogo said...

UTAMU WA YESU.? kaka s

EDNA said...

Tack detsamma mdada.