Thursday, February 14, 2013

Happy Valentines Day/Upendo Daima kwa siku ya wapendanao /Alla Hjärtans Dag

VALENTINES DAY.!!!!
Leo ni Valentineday/siku ya wapendanao/alla hjärtans dag. Sio kama siku zote watu hawapendani HAPANA bali ni kuhamasisha watu wazidi kupendana . Kwangu mimi ina maana kubwa kwani nimekuwa mwanaharakati bora wa Upendo kwa jamii haijalishi nimefika kiwango gani . Nashukuru hata kama sijafika robo. Nakuomba nawe shiriki kutangaza Upendo Duniani. Upendo ulimwenguni kote! na Heri ya siku ya wapendanao kwa wanablog wooooooooooooote! HAPPY VALENTINES DAY.!!!!

5 comments:

emu-three said...

Wenzetu walikuwa na lengo jema, kuiweka siku hiyo ya `wapendanao' lkn wengi wameigeuza na kuitumia siku hiyo vibaya!

Yasinta Ngonyani said...

kwa namna nyingine naweza kukubaliana nawe emu3..maana nimekuwa najiuliza hivi hii siku ina maana gani? maana naona kama watu wanaheshimu zaidi kupeana zawadi kuliko UPENDO ..je? kweli tunapendana????

Anonymous said...

Wengine eti wameamua iwe ndiyo siku maalum ya kuvunja amri ya 6.

Yasinta Ngonyani said...

usiye na jina! hii sasa hatari kweli...

Ester Ulaya said...

ASANTE SANA...........KWANGU ILIKUWA NZURI MNO....INGAWA NINA HOMA ILA ILIENDA VEMA