Friday, February 4, 2011

NAWATAKIENI MWISHO WA JUMA YA KWANZA YA MWEZI HUU WA FEBRUARI NA PIA IJUMAA NJEMA!!!


Muumba akipenda tutaonana tena wakati mwingine!!!!

13 comments:

Simon Kitururu said...

Ijumaa njema kwako pia !

John Mwaipopo said...

ijumaa njema na kwako pia

Unknown said...

Ijumaa njema dada..

Yasinta Ngonyani said...

Mt. Simon Ahsante! pia shukrani kwa kuwa pamoja:-)
Kaka John Nawe Ahsante!

Kaka Mrope nadhani nitakuwa na ijumaa njema kwani si muda mrefu nitamaliza kazi na nitakuwa off mpaka j3:-)

Anonymous said...

Ijumaa njema pia nawe. Kesho wapikie ugali hao wazungu,au hujaagiza unga?
Wasalimie sana wanao.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

Hongera kwa kuwa off! wengine tuko safarini hivo....mioyo pwaaaa kwa hofu mwee!

Muwe na ijumaa njema!

Unknown said...

Safari Njema, ah! NO Weekend NJEMA KWA KILA MMOJA.

Ndio nimefika maana huko nilipokuwa!!!! euuff.

Baraka Chibiriti said...

Asante sana na kwako pia dada Yasinta!

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Mie nawatakieni nyote mnaopita kwenye uga huu wikiendi njema. Kwa wenye theluji endeleeni kupiga koleo hata hivyo punde tu tutajidai na summer.
Kwa walioko Bongolalaland fikiria kufanya kama jamaa zetu wa Masri pale.

emu-three said...

Jumamosi njema, kwani nimeisoma hii `heri na fanaka' j'mosi, nakutakia wiki-end njema wewe na familia yako.TUPO PAMOJA DAIMA

Rachel Siwa said...

mapumziko mema na Familiya!!!!!!!j`mosi njema!!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Asante da Yasinta.

Goodman Manyanya Phiri said...

Mchezo mzuri sana; na wale wanayoigiza ni wataalam kabisa.

Wamtafutie jina lingine lakini huyo Majuto. Haina haja siku hizi kujuta kama umepata ukimwi (kama nimewuelewa vizuri mchezo).

Yoyote yule anaweza kupata ukimwi... hata watakatifu...

Hata hapa Afrika Kusini kunamtakatifu mmoja ambaye inasemekana ugonjwa wake unatokana na ukimwi... anavaaa nguo kama mtoto mchanga kutokana na kuharisha daima huku akiwa mzee wa miaka zaidi ya 80... aibu hamna tena... ukimwi ni kikohozi!