Thursday, February 10, 2011

UNAJUA HAPA NI WAPI?? AU NI JENGO KWA AJILI YA NINI /GANI?


Ni sehemu nzuri sana, ukifika hapa utatamani usiondoke......



9 comments:

emu-three said...

Mimi nahisi hi hoteli ya kimataifa au? ...shule? ...

Simon Kitururu said...

Mimi sijui!

Rachel Siwa said...

Mimi pia sijui,labda tukupe mji ili utuambie mimi nakupa NTIPWILI!kama umepapenda tuambie!

Anonymous said...

Hiyo ni guest house kwa sababu watu wakiingia guest huwa hawakumbuki makwao.

Mbele said...

Hapa ni Mbamba Bay, na hii inayoonekana ni hoteli ambayo masista wa Chipole wamejenga pale. Ni kitega uchumi kwa upande wa utalii.

Penina Simon said...

I wish ningefanikiwa angalau kulaza ubavu wangu humo!!

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu zangu naona jibu mmepeta Profesa Mbela kalitoa hapo ni Mbamba Bay na ni St Benadeta hotel. Ahsanteni sana kwa yote!!!

Anonymous said...

hapa ni mbambabay mi nimelala pale mwezi novemba mwaka jana huduma yao ni nzuri sana umenifurahisha sana kwa kunikumbusha ziwani kule maana wakati naenda sikutegemea kukuta mahala pazuri kama pale

Anonymous said...

Nawaombeni namba yao ya simu nifanye reservation. Ninakusudia kwenda huko hivi karibuni. Panaonekana bomba sana.