Friday, June 11, 2010

Picha ya wiki hii:- Je? unamfahamu huyu aliye kwenye picha hii??

Je? hii picha ilipigwa mwaka gani ?
Na napenda kuwatakieni wote Ijumaa njema na tutaonana wakati mwingine!!

12 comments:

Anonymous said...

huyo ni asinta alipiga mwaka1999

Fadhy Mtanga said...

Mi labda nikupe mji, Songea.

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

dah! sina miwani hivo siwezi kumuona vizuri!

Mija Shija Sayi said...

Picha ni ndogo ila ninahisi ni wewe yasinta, mwenzetu kumbe umefika mbali hivi?

Jacob Malihoja said...

Huyo si Yasinta, ni binti wa Yasinta, Camilla. Picha hiyo inaonekana imepigwa Mwishoni mwa mwaka Jana ama mwanzoni mwa mwaka huu! Picha hiyo imepigwa huko huko Sweden! na Mpigaji wa Picha hiyo ni Yasinta Mwenyewe!

Mija Shija Sayi said...

Malihoja lazma umesahau miwani yako...lol!

Jacob Malihoja said...

Sijasahau Da Mija, kweli ukiangalia vizuri picha ile ni ya Camila, Tena imepigwa na mama yake .. na kama Si mama yake imepigwa na Erik (mdogo wake)...! unajua mpiga picha aliinua Camera juu wakati anapiga .. na hali hiyo ilitokea kwasababu ya mzaha wa pozi la mpigwa picha .. pozi ambalo lilimfanya mpiga picha amwangalie zaidi usoni mpigwa picha .. na kujikuta akiinua Camera! na hii hutokea katika mizaha mizaha ya kupiga picha ... au Tuendelee na sisi kumpa Mji, kama Kaka Fadhy? Basi mimi Nampa Litumba ..., Mbinga!

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Nimepita kuwasabahi

Simon Kitururu said...

Ijumaa Njema!


Sioni picha vizuri ingawa nahisi PIKIPIKI kuna kitu ilifaidi ukarimu.:-(

Yasinta Ngonyani said...

Wote ahsabteni sana Na DaMija HONGERA umepata ndiyo hapo ni mimi mwenyewe picha ilipigwa 1994-1995. Samahani kama picha imekuwa ndogo mno.

Penina Simon said...

Aisee simfahamu but looks so cute like you,anapendeza haswa God bless her.

Penina Simon said...

Aisee, umeonekana mrembo mno, kumbe mwanao amerithi kwako, nilihsi ni yeye lkn nikamwona mkubwa