Thursday, June 17, 2010

Picha ya wiki hii!! Je? Unajua mwanamtindo huyu ni nani?

Nimeipenda hii picha na nimeona iwe picha ya wiki hii. Rangi za mavazi ni rangi ambazo zinawakilisha nchi yetu Tanzania. Na pia nimependa mwanamtindo huyu kwa mtindo wake wa nywele..

Na sasa ngoja tusikiliza kibao hiki ambacho kinawakilisha ujumbe murwaaaaaaaaaaaaaaaaaNi "Reggae sasambua sytle" iliyoimbwa na Dada Saida Karoli kuhusu sweet Tanzania

12 comments:

Faith S Hilary said...

Hahahahhahahahhahahahahhahahahahhahahahhahahahahahahhahahahahahhaaaaaaaaaa!!! Mi simjui jamani naomba mnisaidie!

I love that get up tho! Hehe dada Yasinta yaani umeifanya siku yangu kuwa nzuri :-)

o'Wambura Ng'wanambiti! said...

That is probably Mube wa Bandioz!!!!!!!

Mija Shija Sayi said...

Huyu nadhani ni mjomba wao kina Camilla, Manjula, Erick, Mija, baba mdogo wa Fidelia Nkugi na baba mzazi wa Paulina.

EDNA said...

kwekwekwe,Mzee Wa Changamotoooooooo.

Unknown said...

Huyu ni mbunge wa kanyigo papa mukulu muzee ya changamoto. Jamaa nadhani kanywa maji ya bendera. Kapendeza kweli hapa. Natumaini agency za umodo wako macho wazi.

chib said...

He he heeee, mimi namuona mtu fulani mwenye hekima na busara

PASSION4FASHION.TZ said...

Huyu ni kaka yetu Mubelwa Bandio au ukipenda muitee mzee wa changamoto!!

Koero Mkundi said...

Huyo ni Mushaija wa kule Kashasha Mzee wa Changamoto

mumyhery said...

ankal wake hery

Blackmannen said...

Naomba msaada wenu jamani, hivi Candy1 hawezi kuzungumza kiswahili kamili ni lazima aongeze na kiingilishi? Au kwa vile kakulia Uingilishini ndiyo lazima iwe hivyo?

Mbona mimi nina waingilishi wengi ninaowafahamu hadi wale waliozaliwa Tanzania hakuna anayeongea na kiswahili chenye chenga ya kiswahili na kiingilishi?

Wao huongea kiingilishi chao kamili na unapoongea nao kiswahili huongea kiswahili kamili hadi mwisho. Je, sisi Watanzania hii ni nini? Ni Ubishoo au nini????

This Is Black=Blackmannen

Yasinta Ngonyani said...

Wote asanteni kwa kupita hapa na kuacha maoni. Hiyo picha ni ya uasili wa mwana wa kiafrika naipenda sana.

obat telat bulan said...

obat cytotec i think your blog very informative obat penggugur thanks for sharing cytotec