Saturday, November 14, 2009

HONGERA KWA SIKU YA KUZALIWA KAKA FADHY MTANGA!!

Leo ni siku maalumu kwa kaka, rafiki, mdogo, mtoto, ndugu , jamaa bila kusahau mtani Fadhy Mtanga. Katika upekuzi wangu nimegundua ya kwamba leo anatimiza miaka, kwa hiyo napenda kumpongeza kwa siku hii kwa kutimiza miaka. kukutumia ua litasinyaa, kadi itachakaa. Kwa hiyo nakuombea kwa sala hii Mungu akubariki, akuongoze, akufariji na akusaidie katika mambo yako. HONGERA SANA FADHILI MTANGA KWA KUTIMIZA MIAKA . HONGERA MTANI!!!

11 comments:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

Hongera kwa kuendelea kupunguza siku za kuishi ndani ya mwili. vp uelekeapo?

Mija Shija Sayi said...

Kila la heri kaka yetu.

chib said...

Kamala :-0
Hongera mkuu

Bennet said...

Mungu akuongezee miaka 100

John Mwaipopo said...

ukiona nyani kazeeka ujue kakwepa mishale mingi. basi si haba nawe umekwepa-po mishale kiasi cha kutosha-po. may you grow to be like mandela!

Simon Kitururu said...

Hepibesidei Papaa!
Pamoja sana tu Mkuu!

viva afrika said...

nimechelewa kiduchu lakini nimefika, nakutakia wakati mzuri katika ukuras mwingine mpya maishani. hongera ndugu mtanga.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

hongera msee wa ushairi...lol

epibesidei!

Mwanasosholojia said...

Natumaini sijachelewa sana, hongera kamarade!

Yasinta Ngonyani said...

Muhongise kwa kumpongeza kaka Fdhy kwa kuongeza miaka. Nahisi kama nimechelewa lakini hakuna kuchewa naamini. HONGERA SANA MTANI.

mumyhery said...

Jamani Mkwe wangu Hongera Sana, ingawa pognezi zangu zimechelewa, nakutakia maisha marefu mema