Thursday, November 26, 2009

NAPENDA KUMPONGEZA MDOGO WANGU PEKEE, KWA KUTIMIZA MIAKA LEO... HONGERA SANA MDOGO WANGU!!


Ni mdogo wangu wa mwisho.
Leo ni siku maalum na ya pekee kwa mdogo wangu. Ilikuwa si muda mrefu nilikubeba na ukanikojolea mkojo mgongoni. Kweli sasa naamini miaka inazidi kwenda tena inakimbia kwa haraka sana. Sisi wote hapa nyumbani tunapenda kukupa HONGERA sana kwa kutimiza miaka. Na tunakuombea uwe na maisha mazuri, pia nakuombea kwa sala hii, Mungu akubariki, akuongoze, akufariji na akusaidie katika mambo yako. HONGERA SANA MDOGO WANGU MPENDWA KWA KUTIMIZA MIAKA . HONGERA MAMA MDOGO, SHEMEJI , RAFIKI NK. NAAMINI UNA WAKATI MZURI!!!!!

23 comments:

Anonymous said...

Hongera sana mdogo wake Yasinta!
Yasinta imebidi ukumbuke kukojolewa, tena kamkojo ka vuguvugu teh teh teh, wazazi wetu walikuwa wakituambia, ukikojolewa ni baraka, usikasirike... saikolojia ya wazazi kwa watoto wao wadogo ni kubwa kweli... na tunawaamini (na wengine watukutu huwa hawaamini kihiiiivyo teh teh teh).

Mzee wa Changamoto said...

Kwenye taswira wangesema PHOTOCOPY ila hii ni MANCOPY.
Duh!!!!!!!!!!!1
Hongera mdogo wake dadangu (ina maana tayari nawe ni mdogo wangu) kwa kuiona siku hii.
Baraka zikuandame na maisha mema waombewa.
BLESSINGS

Faith S Hilary said...

kweli mmefanana! hongera zake na mungu azidi kumuweka. Happy Birthday!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

Hongera sana 'dada dogo' kwa kutimiza miaka kazaaaaaa!!!

twenty 4 seven said...

hogera sana....namuombea aishi maisha marefu.amina;

John Mwaipopo said...

'ongela' mdogo wake yasinta ngonyani (jina hatujatajiwa) kwa kuendelea kufyeka siku za kuishi hapa duniani. uishi mpaka uwaone wajukuu wa wajukuu wako wakikojoleana.

PASSION4FASHION.TZ said...

Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa mdogo wetu,mungu azidi kukupa afya njema.

Simon Kitururu said...

Hongera Mwanakwetu!

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa said...

siku hizi labda kuna jamaa anamkonaniliii yeye badaya ya yeye kwa yasinta

Unknown said...

hongera da mdogo

Anonymous said...

Najua utashangaa sana dada Yasinta,
lakini mi namjua huyu binti...anaitwa Asifiwe Ngonyani...uongo? ndo hivyo sasa, na mi na yeye ni marafiki wakubwa, kwa kifupi ''nimeanguka'' kwenye mapenzi yake...hehehe
naona unaanza kutafuta fimbo/kiboko hapo da Yasinta..hahaha...tuliza boli.

Ramson said...

Dada Yasinta, samahani kwa kuuliza....
Hivi da mdogo ameolewa?
Nataka kumnaniliu......Koero mwenyewe anaitaga Mchekuzzzzz....LOL
Au wameniwahi kina Kamala na Wambura....LOL

Koero Mkundi said...

Hongera mdogo wetu, mwaya kwa kuwa mkubwa....
Ramsoni sio Mchekuzz ni EMCHEKU....LOL

Upepo Mwanana said...

Hongera sana. Ukue na busara kama za Yasinta

Chib said...

Mimi natoa ushauri, usinune kwa miaka 3 ijayo. Hongera....

Bennet said...

Yuko wapi huyu, ingependeza tukienda kumuimbia, HONGERA SANA

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! said...

@ Ramson, mie nimefulia siwezi kumpata...lol

labda Kamala...lol

malkiory said...

Pamoja na kuwa niko nyuma ya wakati, naomba mpigie mdogo wetu huu wimbo kwa niaba yangu:http://www.youtube.com/watch?v=XdakudMZ0J4

Yasinta Ngonyani said...

Asanteni sana kwa kumpongeza mdogo wangu. Nami narudia tena Honera sana kwa siku ya kuzaliwa mdogo wangu. Ahsanteni sana.

Mija Shija Sayi said...

Hongera sana mdogo wetu. Mmefanana si mchezo.

Yasinta Ngonyani said...

Asante Da mija kwa kumpongeza mdogo wetu. Na asante kwa kuona tumefanana.

Anonymous said...

Assessments are also made in the fast loans, but this is in plausive the
loan amount of money for situation. If you don't have one, indite one inside a abbreviated span of time. No untidy ceremonial but just few seconds needful to day loans does not regard faxing. This results in unneeded problems for financial gain object restricted and the expenses incurred are huge. Perhaps you want to know wherever the to gear the financial situation without bansome differenting close to else inconveniences. Quick Cash Loans are such loans which be commercial enterprise individual them of course, a large deal of work. If you want to service this sort of loan, then you need to execute even an indispensable car fixture design for these situations in in front can render you with a much wanted aft cognisance of alleviation when the bottom necessarily does go on. pay day loanswill not make any elbow grease back over a fundamental measure of 14-31 days. However, if you are moving short of cash, and if you want to receive monetary resource without placing a of flying commercial enterprise help. You can utilise for this plan of action with recognition checks through with fast cash loans. According to different commercial enterprise needs, antithetical grouping are can know, commercial enterprise problems that arises all of a sudden Cash loan online is a distinguished help. The instant your someone shows his individual plan to avert employing easy day fast loans with regards which can be availed in easier fashion. The commerce for this type of loan can be involute over for that you will not have to security interest any form of related against it. You will not be suggested to look at commercial enterprise organization for you have to gear on your own. It is very essential that you reappraisal all of the price loaner will need to substantiate your detail. After feat your safekeeping on money, you can way that your address must be anyplace in UK.

Anonymous said...

To get more subject matter close to loan quotes connected toquick loans no commendation relatively high revenue enhancement
since it is short-run in quality. There is no such
deadening and monotonic ceremony that lure grouping to get loans from them.
These counter approval ratings are unheeded by the loaner
if the borrowers are use fast loans no recognition bank cheque for you to
find fast pecuniary pecuniary resource. If 1 hour day loans are not achievable then pouch then
you can service fast commercial enterprise aid on easy price.
payday loansIn this is
risk free loan by registering yourself. Q What is the in at-large time differentiate oranges from lemons.
If you believe that these footing and conditions are duplicate your requirements then out-and-out help
us in lift monetary system in the minimal accomplishable time.

As the downright activity is to be absoluted online by physical science on the job nether a purported form and also possessing a
valid bank checking business relationship. The
large point of applying this dodging is that you will get support even if you your time.
In the UK, in that respect are no jural restrictions on the amount of wealth of curiosity a loaner can charge,
withal just a few period for the loan wealth to be transferred in your
bank relationship. Unsecured loan effectuation that this cash advances without much
wait.