Sunday, January 18, 2015

JUMAPILI HII YA TATU NAONA WIMBO HUU :- NAMSHUKURU MUNGU UNAFAA.


Nami nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa yote. Ahsante Mungu-

2 comments:

Mama Wane. said...

Nami pia namshukuru mungu kwa yote aliyotutendea.na kukurudisha salama dada yetu maana nasikia kulikuwa na panya road huko.

Yasinta Ngonyani said...

Mama wane! nashukuru kwa yote kwa kweli,,, Halafu umenichekesha kuhusu hao panya road:-)