Tuesday, January 20, 2015

NA ZANZIBA PIA TULIFIKA!!

 PAJE BY KITE ZANZIBAR
Kama kawaida ukifika Zanzibar ni vigumu kuacha kwenda kusuhudia jinsi ndugu zetu walivyoteswa kama watumwa.

3 comments:

emu-three said...

HONGERA SANA, NATUMAI UNA MAMBO MENGI YA KUWEKA HAPA HAPA KIJIWENI, Tunashukuru sana, maana tunaona mengi kama hayo ya enzi za utumwa Zanzibar tupo pamoja

che guevara mwakanjuki said...

Kuna blogger mmoja aliniambia kuhusu kukutana nawe huko Zenj... Nami nikawa nasubiria kwa hamu kuona uliochoana!Hopeful you had a quality time na marashi kibao there!

Yasinta Ngonyani said...

emu-three! AHSANTE SANA. Nitachambuachambua kisha nitaweka hapa maana kupeana elimu ni jambo jema.
che guevara mwakanjuki! ni kweli nilikutakana na mwanablogger mmoja tulisafiri pamoja boti moja kwenda na kurudi...Usikonde kuhusu kuona nilichoona...