Saturday, January 24, 2015

JUMAMOSI NJEMA...NIPO NA KAKA ZANGU KATIKA UPANDAJI WA MITI RUHUWIKO/SONGEA 2015 JANUARI

Nipo na kaka zangu tunapanda miti, huu mti niliosimama nao karibu niliupanda mwaka 2013 na sasa umenipita urefu kazi kwelikweli. Kata miti na pia panda miti  kwani ndio uhai.  Huu ndio ujumbe wangu wa leo!JUMAMOSI NA  MWISHO WA JUMA MWEMA!! KAPULYA.

4 comments:

Kelkaf said...

Ujumbe umepokelewa ....Panda miti mpaka Songea iwe Amazon

Yasinta Ngonyani said...

Kelkaf! Kama ulikuwepo ndo wazo lenyewe!!

Justine Magotti said...

hongera dada,sera ya serikali wanasema kata mti panda mti.
Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Magotti ahsante.