Monday, January 5, 2015

KAPULYA ANATIMIZA MIAKA LEO... NI TAREHE NILIYOZALIWA LEO:-)

Leo ni tarehe/siku ambayo familia ya Mzee Ngonyani ilikuwa na furaha kumpati binti yao ambaye alizaliwa siku hii ya leo. Na leo ameongoza mwaka tena na kuzidi kuzeeka. Lakini hata hivyo anapenda kuwashirikisha ndugu, jamaa na marafiki kwa siku hii ili tumsaidie kusherekea. Na wote manakaribishwa..sana. NAWATAKIENI SIKU NA WAKATI MWEMA. WOTE MNAPENDWA SANA ...KAPULYA Nachukua nafasi hii na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunilinda salama .

11 comments:

Anonymous said...

Happy birthday da Kapulya na Mungu akulinde na kila shari na uishi miaka mingi. By Salumu.

NN Mhango said...

Happy Birthday ufaidi na kuishi sana.

Rachel siwa Isaac said...

Happy birthday my sis...Mungu azidi kukubariki na kukupa miaka mingi ufanikishe ndoto zako.

Manka said...

Heri ya kuzaliwa Dada yangu,Mwenyenzi akupe maisha mema na yenye baraka tele

rafiki wa hiari said...

rafiki yangu mpendwa Yasintah, napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mungu kwa ajili yako, na pia kukushukuru wewe kwa kunipokea kama rafiki yako wa hiari.
Ingawaje nimechelewa (si unajua jana na mimi ndio nilikua tumboni ili nizaliwe leo) nakutakia siku kuu njema ya kuzaliwa kwako, Mungu azidi kukubariki mno, akutunze uishi na uweze kushuhudia matendo yake makuu juu ya maisha yako.

ray njau said...

hi!

Yasinta Ngonyani said...

Ni furaha ilioje kusema ahsante sana kwa kuwa nami katika siku yangu ya kuzaliwa. Mmeonyesha upendo wenu na ushirikiano. Nimechelewa kujibu nilikuwa safarini ndo nimerudi jana. Na sasa tupo pamoja. Karibuni tena na tena.Kapulya:-)

Daniel Hhary said...

hongera sana na mungu akujalie maisha marefu

Yasinta Ngonyani said...

Daniel! Ahsante.

Anonymous said...

Happy birthday Yasinta.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina! AHSANTE SANA kunitakia Kheri!