Sunday, December 1, 2013

JUMAPILI HII YA KWANZA YA MAJILIO MWAKA A NA IWE NJEMA KWA WOTE

Napenda kuwatakieni wote Jumapili hii ya kwanza ya mwezi huu wa kumi na mbili. Na pia ni Jumapili ya kwanza ya majilio. JUMAPILI NJEMA KWA WOTE.

2 comments:

Rachel siwa Isaac said...

Asante sana KADALA wa mimi,Iwe njema kwako na familia pia.

Yasinta Ngonyani said...

KACHIKI ,,,naamini jumapili yako ilikuwa ya upendo na baraka nyingi ndani ya nyumba yako..Ahsante:-)