Sunday, December 8, 2013

NAWATAKIENI JUMAPILI NJEMA ....LEO NA MTOKA WA NYEUPE HIVI NDIVYO NILIVYOTOKEZEA IJUMAA..!!!MWANAMTINDO KAPULYA:-)

 Leo mdada kavalia nyeupe ilikuwa ijumaa kulikuwa na sherehe na hivyo ndivyo alivyotokezea ....:-)
Anashangaa kama vile anatoka usingizini....Mpiga picha ni kaka Erik. Nawatakieni wote Jumapili njema sana na iwe yenye upendo na baraka. na pia maandalizi mema ya Noel.

3 comments:

Rachel Siwa said...

Asante sana KADALA wa mimi,Iwe Njema kwako na Familia pia....
Umependeza sana Mwanamitindo.

Anonymous said...

Kumbe Yasinta ni mdogo mdogo sana! Inavyoonyesha hizo picha zimekutoa jinsi ulivyo kabisa, nadhani zingine huwa zinakuongeza ukubwa au? Kama nimekosea niwie radhi. Yaani ni mtoto wa darasa la tano hivi kule kwetu Tz. Jamani unakula nini mpaka umebakia hivyo?

Yasinta Ngonyani said...

KACHIKI wa mimi ahsante alo :-)

Usiye na jina huo ndiyo mwili wangu wa kila siku Na wala sili kitu maalumu ila basi tu..Ahsante