Friday, December 6, 2013

AFRIKA TUMEPATWA NA MSIBA BABU YETU NELSON ROLIHLAHLA MANDELA HATUNAYE TENA.

Nelson Mandela wakati wa uhai wake
 
1918-2013....ni pengo kubwa umeacha. Utakumbukwa daima. Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema. Amina.


TUTAKUKUMBUKA DAIMA MKOMBOZI WETU. AMINA

11 comments:

Mija Shija Sayi said...

Sasa kazi imebaki kwetu sisi kufuata nyayo...

Pumzika kwa amani mzee Madiba.

Anonymous said...

Ailaze roho yako pema, Amin. By Salumu

bakari masukuzi said...

r i p mandela

Ester Ulaya said...

Kwakweli tumepata pigo. RIP babu yetu

Nancy Msangi said...

Kwa kweli ni pigo kubwa kwetu, tumuombee mwema hko aendako. Amina

Yasinta Ngonyani said...

Hakika mliotangulia mlichosema ni kweli kabisa...Nami ngoja nisema tena yale yaliyo moyoni mwangu. Babu Mandela umefanya kazi kubwa sana na nzuri sijui kama kuna mtu kama wewe tena. Ni mfano mzuri sana wa kuigwa. Najiuliza je kuna mmoja wetu anaweza kufuata nyayo zake?..Mwenyezi Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi Daima tutakukumbuka.

Anonymous said...

Mungu ameamua kumpumzisha. Dada Yasin´ta mie kwa mawazo yangu sioni kama kutatokea kama Nelson Mandela kwa nchi za Africa, (Na bia kumsahau Nyerere) nasema hivyo kwa sababu viongozi na wapigania haki wa kizazi hiki wapo after mali, utajri, kujilimbikizia, mtu anahangaikia hayo na sio utu na ubinadamu kama ilivyokuwa kwa Babu yetu Mandela. Maneno ni rahisi sana kuandikwa ila MATENDO MEMA NA KUJITOA KWA AJILI YA WENGINE, wengi hawawezi wanashindwa katika 100 ni 1 au 2. Ni ngumu sana. Binadamu wamekuwa zaidi ya wanyama kwa sasa kama tunavyoona yanayoendela Tz kwa sasa, watu kuuana kwa silaha hata bila sababu, ukabila, udini na vitu vingi visivyofurahisha jamii! nani akaikomboe Africa? Labda bado hajazaliwa, tusubirie atakuja kuzaliwa wa mfani wa Mandela miaka ijayo. Mungu ibariki Africa na watu wake.

Rachel siwa Isaac said...

Pumzika kwa Amani TATA MADIBA.Daima tutakukumbuka.

Obat Perangsang Wanita said...

thank for sharing

zarena cantik said...

perfect perfect fried rice, good post for the beginners as well..Super Prema, loved the presentation very much
Selaput Dara Buatan
Vimax asli Canada
Obat Perangsang
viagra usa
Bio Slim Herbal
Obat Mata Herbal
Perangsang Wanita
Obat Perangsang Cair
Perangsang Sex Drops
Vimax Oil
Semenax
Vagina Tabung
Vagina Center
Boneka Full Body
Vagina Pinggul
Alat Bantu Sex Pria
Vagina Elektrik
Penis Elektrik
Penis Tempel
Penis Manual
Penggeli Vagina
Penggemuk Badan
vimax canada

cytotec said...

obat telat bulan i think your blog very informative, obat penggugur thanks for sharing obat cytotec