Tuesday, December 24, 2013

SALAMU ZA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPULYA.....

Nawatakieni wote sikukuu hii ya Christmas/Noeli iwe yenye baraka, amani, upendo na furaha. Mwenyezi Mungu na awe pamoja nanyi kwa kila mtakachofanya. CHRISTMAS NJEMA/GOD JUL!!

6 comments:

Nancy Msangi said...

Umependeza Da yasinta, tunashukuru sana nawe x-mass njema mpendwa!

Yasinta Ngonyani said...

Ahsante ndugu yangu Nancy...naamini xmas yako na wote waliokuzunguka utakuwa ya kufana.

Nicky Mwangoka said...

Asante sana. Nakutakia wewe na familia pia sikukuu njema ya xmas

Anonymous said...

Happy Christmas and New Year to Yasinta & Family. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Nicky ! Ahsante sana..bahati mbaya siku yangu imeishia mzigoni...na sasa nipo hoi hae....

Ahsante kaka Salumu nawe pua nakutakia kila jema kstika kuuanza mwaka 2014.

Anonymous said...

Jamani naombeni mnaotumia X-MASS, muache, tumieni Christmass kama kawaida kwani unapoweka X maana yake ni HAKUNA KRISMASS, 'umeicancel' tayari au kwa maana nyingine, ni 'antchristmass'.Sasa mnakubaki siku kuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu kristu iwe ni kinyume chake?. Jamani lakini huo ni mtizamo wangu tu, na wala siyo sheria.