tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post744377421189107631..comments2024-03-22T07:21:43.203+01:00Comments on MAISHA NA MAFANIKIO: SALAMU ZA CHRISTMAS KUTOKA KWA KAPULYA.....Yasinta Ngonyanihttp://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-9190907322764309722013-12-27T20:19:28.629+01:002013-12-27T20:19:28.629+01:00Jamani naombeni mnaotumia X-MASS, muache, tumieni ...Jamani naombeni mnaotumia X-MASS, muache, tumieni Christmass kama kawaida kwani unapoweka X maana yake ni HAKUNA KRISMASS, 'umeicancel' tayari au kwa maana nyingine, ni 'antchristmass'.Sasa mnakubaki siku kuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu kristu iwe ni kinyume chake?. Jamani lakini huo ni mtizamo wangu tu, na wala siyo sheria. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-30370463416730157632013-12-25T21:17:38.005+01:002013-12-25T21:17:38.005+01:00Kaka Nicky ! Ahsante sana..bahati mbaya siku yangu...Kaka Nicky ! Ahsante sana..bahati mbaya siku yangu imeishia mzigoni...na sasa nipo hoi hae....<br /><br />Ahsante kaka Salumu nawe pua nakutakia kila jema kstika kuuanza mwaka 2014.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-70677990565344805932013-12-25T04:43:29.022+01:002013-12-25T04:43:29.022+01:00Happy Christmas and New Year to Yasinta & Fami...Happy Christmas and New Year to Yasinta & Family. By Salumu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-16286615581492335852013-12-24T22:36:24.630+01:002013-12-24T22:36:24.630+01:00Asante sana. Nakutakia wewe na familia pia sikukuu...Asante sana. Nakutakia wewe na familia pia sikukuu njema ya xmasNicky Mwangokahttps://www.blogger.com/profile/00332297597802872607noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-12219671919139121292013-12-24T15:48:32.400+01:002013-12-24T15:48:32.400+01:00Ahsante ndugu yangu Nancy...naamini xmas yako na w...Ahsante ndugu yangu Nancy...naamini xmas yako na wote waliokuzunguka utakuwa ya kufana.Yasinta Ngonyanihttps://www.blogger.com/profile/09314172793959023532noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-3332600689383679139.post-61751367959542837872013-12-24T14:58:03.252+01:002013-12-24T14:58:03.252+01:00Umependeza Da yasinta, tunashukuru sana nawe x-mas...Umependeza Da yasinta, tunashukuru sana nawe x-mass njema mpendwa!Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/12062236744185788949noreply@blogger.com