Monday, December 23, 2013

TUANZE JUMATATU HII KIHIVI NA NENO AMANI!!!

AMANI:- Ni kitu cha thamani sana. Ambacho kila mtu angependa kuwa naye au hata kuwa na ndoto.
NAWATAEKIENI WIKI HII YA NOEL IWE NJEMA NA NOELIENDE SALAMA. KAPULYA

2 comments:

Nancy Msangi said...

Na kweli Da yasinta ukikosa amani moyoni huwezi kuishi salama. Mungu tujalie Amani maishani mwetu!

Yasinta Ngonyani said...

Nancy! Pamoja daima!!