Tuesday, December 3, 2013

JUMANNE YA LEO TUTEMBEE KWETU LITUMBANDYÓSI /NYUMBANI NI NYUMBANI!!!

 Hapa ni sokoni petu ukitaka dagaa, viazi vitamu, samaki nk.utapata bila matatizo:-) 
 Na hapa usipotaka dagaa au samaki basi waweza kujipatia kiti moto ...
Na hapa ndo unga tayari umeshasagwa kwa hiyo hakuna shida. Isipokuwa  ni  kuandaa chakula tu sasa....Nimeutamani huu unga basi tu...NAWATAKIENI JUMANNE NJEMA..

5 comments:

Anonymous said...

Mambo mazuri! ila kitimoto hapana. dini yetu hairuhusu. By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Salumu! Ahsante kwa kupita hapa ...Nakuelewa na nina heshimu hilo!!

kuelekeautajiri said...

Dada Nangonyani, hiyo kiti moto na dagaa nyasa umenikumbusha mbali mno nilipokuwa hapo Ruhuwiko nikilima nyanya na chainisi kwa mjombangu mwaka 1997,sasa nipo Dar lakini ‘Ilove Songea very much'.

Emmanuel Mhagama said...

Kweli nyumbani ni nyumbani.

ray njau said...

Numbani ni nyumbani japo mlo wa kuhemea kwa jirani!!