Tuesday, November 26, 2013

TULIO WENGI TUNAKUMBUKA HIKI NI NINI!!!

Lakini wengi nadhani tunakumbuka vya matete...ni vihesabio/kalukuleta za zamani hizo. Hicho ni kihesabio cha dada Camilla wakati akiwa Mdunduwalo/Ndirima shule ya msingi na ni baba yangu katengeneza. Ametengeneza kwa visoda. Je? wewe umewahi kutumia vihesabio vya aina hii?

7 comments:

Anonymous said...

Dada Yasinta umenichekesha kwa kusema kalukuleta ya zamani yani sikuw ana wazo kabisaaaaa kuifananisha na kalukuleta, ila ni kweli ama kweli elimu haina mwisho! Mie hiyo kalukuleta ya visoda nimeitumia sana sana tu, yaani na Camilla nae ametumia hiyo. Haya watoto wa mama asilia mama wa maisha na mafanikio. Mungu akubariki sana.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ...Nafurahi kama nimeweza kukuchekesha...mimi nimetumia sana zile kalukule za matete...Ndiyo Camilla katumia pia, na mwalimu wake alikuwa babu yake:-)

Unknown said...

umenukumbusha mbali kweeli... nimetumia hivyo visoda kama vihesabio. Ya kale dhahabu. Ahsante dada yangu na siku njema.

Rachel Siwa said...

Teheheeh..nimetumia sana Visoda tena nilikuwa navaa shingoni wakati mwingine...
mwalimu KACHALE kama huna hivyo utamtambua.

ray njau said...

Tujifunze kuhesabu moja,mbili,tatu.........................!!!

obat vimax said...

vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg