Saturday, November 2, 2013

JUMAMOSI YA LEO NA UJUMBE HUU...

Katika maisha vitu si muhimu.
NAWATAKIENI WOTE JUMAMOSI HII YA KWANZA YA MWEZI HUU IWR NJEMA..NA TUWAOMBEE MAREHEMU WOTE MAANA NI SIKUKUU YA MAREHEMU LEO.

2 comments:

ray njau said...

Vitu siyo maisha na maisha bila vitu hayasimami.

Yasinta Ngonyani said...

Nakubaliana nawe kaka Ray lakini unaweza ukaishi hata kama una vitu ..Ahsante kwa kupita hapa na kuacha lako la moyoni