Tuesday, November 19, 2013

AKINA MAMA WAPO KIWANDANI KUCHAMBUA KOROSHO HUKO TUNDURU MKOANI RUVUMA!!!

Hapa ni baadhi ya akina mama wakichambua Korosho kwenye moja ya kiwanda wilayani Tunduru mkoani Ruvuma......Nimekumbuka mbali sana wakati naishi Litumbandyósi na Kingole kuilikuwa/kuna Korosho nyingi sana. Basi mimi na kaka zangu tulikuwa tukizishughulikia hizo wewe acha tu, yaani mpaka mikono pia vidole vilikuwa vinachubuka maana Korosho zina mafuta fulani hivi yaliyosababisha iwe hivyo. Ila kwa kweli ilikuwa raha sana....picha hii nimeitoa kwa mdogo wangu Ester Ulaya.

7 comments:

Unknown said...

Hongera kwa taarifa hizi.
Hawa akina mama wanashauriwa kujiunga na Tanzania Exporters Association ili waweze kujengewa uwezo katika utendaji wao na kuunganishwa na masoko ya nje.

Je zaidi ya korosho ni mazao gani mengine wanayozalisha ambayo yanaweza kupata walaji katika masoko ya EAC,SADC,COMESA na mabara ya mbali?

Kwa habari zaidi wasiliana na:
Mtemi L.Naluyaga
Mkurugenzi mtendaji
Tanzania Exporters Association
Samora Avenue,N.I.C Investment House,Wing A
P.O.BOX 1175 Dar es Salaam,Tanzania.
Tel:+255 732 924 564, 754 869 838
Email:info@tanexa.com
Web:www.tanexa.com
bogu:tanexa.blogspot.com
===================================
KARIBU NYOTE ILI TUWASAIDIE WAJARIAMALI WA TANZANIA KUNUFAIKA KIKAMILIFU NA JASHO LAO.
-----------------------------------

ray njau said...

Huu ni wakati wa wajasiriamali wa Tanzania kujengewa uwezo ili waweze kutumia fursa zilizopo katika masoko ya EAC,COMESA,SADC,AGOA na kwingineko ughaibuni.

Unknown said...

Tanexa inawaribisha habari mbalimbali kutoka katika jamii ya wazalishaji kwa ajili ya mauzo ya nje na wanunuzi waliopo ughaibuni ili kupitia madokezo yao jamii izidi kunufaika.

Unknown said...

Tanexa inawaribisha habari mbalimbali kutoka katika jamii ya wazalishaji kwa ajili ya mauzo ya nje na wanunuzi waliopo ughaibuni ili kupitia madokezo yao jamii izidi kunufaika.
Email:info@tanexa.com

Yasinta Ngonyani said...

Tanexa na kaka Ray ahsante sana kwa kupita hapa na kuacha yenu mawazo.

Unknown said...

dada yasinta kuanza nikushukulu kwa kuweza kukumbuka na kona ni jinsi gani watanzania tuna hitaji kuwezeshwa ktk nyanja mbalimbali ilitupate kubolesha maisha na uchumi wa inchi kwa ujumla

obat vimax said...

vimax thanks gan infonya vimax asli di tunggu info selanjutnya gan obat klg