Monday, November 4, 2013

TUANZE JUMATATU HII KIHIVI :- KAPULYA SI MDADISI WA MASWALI TU BALI NA UTAMADANI WAKE PIA ANGALIA HAPA

Msifikiri anakusanya scalf na mawe tu kama mlivyoona hapa hapana anakusanya na vingine kama ,,,,,angalia hapa.....

 Hapa ni baadhi ya bangili za mdada huyu alizokusanya/nunua  napenda sana bangili na bado naendelea kukusanya....
 Hapo ni baadhi ya mikufu niliyonayo zawadi na nyingine ni kazi ya mikono ya wanangu
Na hapa ni baadhi ya heleni ambazi ni kazi ya mikono ya watu ambao wamebarikiwa kuwa na kipaji kama hiki.....TUDUMISHE UTAMADUNI WETU....JUMATATU NJEMA KWA WOTE

2 comments:

ray njau said...

Utamaduni wetu ndiyo utambulisho wetu!!

Yasinta Ngonyani said...

Utamaduni...Hakuna kitu kizuri kama utamaduni....Maana ndio jadi yetu kwa ujumla.Ahsante kaka Ray..