Tuesday, November 12, 2013

BLOG YA MAISHA NA MAFANIKIO IMECHAGUA NGOMA HII IKIWA IMECHEZWA NA "ZAMBIA NGONI" IMENIKUMBUSHA LIZOMBE.....NGOMA YA ASILI


Msione kimya nipo  niseme tu nilikuwa nimebanwa  ila sasa nipo. Napenda kuwatakieni wote kila la kheri.Kapulya

3 comments:

ray njau said...

Ninapoipenda lizombe ni hapo tu......................... na kila mtu aipende lizombe ngoma,ngoma ya wangoni.

Jacob Malihoja said...

Enzi hizo niko Kadoda nilikuwa nakwenda sana kwenye Ngoma ya lizombe.

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Ray..Yaani ngoma za asili zina utamu wake:-)

Mlongo Malihoja:- za magono..Ena lizombi/ chitoto,ligwamba na nyingine...