Friday, August 23, 2013

TUANZA MWISHO WA JUMA NA UJUMBE HUU MUWE NA WAKATI MWEMA!!


 NA MSANII MRISHO MPOTO....

AU LABDA TUENDELEEE NA UJUMBE HUU

Tumkomboe mwanamke mimi na wewe tukomboe Taifa, kwani ni yeye mama ni yeye mwanzo Taifa...taifa bora huanzia tumboni mwa mama.....endeleee  yaani hapa nipo hoi maana  mapigo ya ngoma yanafanana na ngoma ya lizombe......
IUJUMAAA NJEMA KWA WOTE:-)

2 comments:

ray njau said...

Mama ni dhahabu isiyoisha thamani!

Yasinta Ngonyani said...

Na Hakuna kama mama...Na wabarikiwe sana...Napenda nyimbo,ushairi na uzalendo wa msanii huyu jinsi anavyotumia maneno yake kueneza ujumbe kwa jamii.