Thursday, September 16, 2010

NANI KASEMA TANZANIA HAKUNA WAREMBO? HII NI MADE IN TZ!!

Hapa ni mrembo/mwanamtindo dada Nuru
Hapa ni mwnadada mwingine tena Yasinta au wengine wanamwita Kapulya.

Ukiangalia vizuri katika picha hizi kuna mfananisho fulani kati ya wanadada hawa. Je ni nini ambacho kinawafanya kufanana au sio kufanana?





13 comments:

Mdau said...

A little seriousness would be greatly appreciated. Na kama hakuna cha kubandika ni bora tu kuacha! Unatuharibia blogu yetu sasa.

Anonymous said...

Warembo wengi tu Bongo na wazuri lakini kitu kimoja wanajichubua, kuchoma manywele kupita kiasi mpaka wanachukiza, sasa hivi waafrika tumekua hatupendi rangi yetu.

chib said...

:-)

emu-three said...

Mhh, hiyo sio siri Tanzania tuna warembo wengi sana, na kama warembo hawo wangewezeshwa, basi tungeshika nafasi ya kwanza.
Dada Yasinta Mhhh, hebu jaribu kuogombea urembo, unaweza ukashika namba!

Mija Shija Sayi said...

Wote ni wana-Sweden....

Anonymous said...

Mdau wakwanza hapo juu ngoja nikujibu,kwanza kabisa there's no space for hater's here.....sasa kilichokuudhi hapo ni nini? ni hizo picha za hao kinadada au?

Wewe ndio unatuharibia blog yetu....mkiambiwa hater's au waosha vinywa mnaanza kulalamika oooh! watu hamtaki kuambiwa ukweli....ukweli gani huo?

Kwanza hujiamini kama unajiamini kwanini umeficha ID yako? eti kama hakuna cha kubandika ni bora kuacha......kwani umelazimishwa kuingia kusoma hii blog? wewe kama unaona hajapenda sign off....kafungue na wewe blog yako utajuze ili tuitembee kama unaona ni kazi rahisi, ashia zako wivu tu unakusumbua.
marcy Arusha.

John Mwaipopo said...

these "girls" gotta gwang! tunahitaji kuwa na miss tanzania ughaibuni, au?

PASSION4FASHION.TZ said...

Warembo mmependeza sana,sana The light kama kawaida yake,Yasinta nawe mmmh! si haba wa Tz ni wazuri bwana.

Baraka Chibiriti said...

Mmependeza sana...hongera zangu.

Matha Malima said...

wamekaa stly ya kukakaa mimi naona wanafanana alufu pia wote wamevaa blauzi za nyeupe .mimim ni hayo tu!!

Penina Simon said...

Yawezekana ni ndg wa karibu au pacha wako, mnafanana haswa

MARKUS MPANGALA said...

ama kweli raha haiji bila kuitafuta. Hongera kapulya, unyambili kweliiiii

Yasinta Ngonyani said...

Nachukua nafasi hii na kuwashukuruni wote. maisha na Mafaniki sio kitu bila ninyi. Ahsanteni. Daima pamoja..