Monday, October 23, 2017

JUMATATU HII TUANZE NA UJUMBE HUU....

NI VIZURI KUSAHAU JAMBO LILILO UMIZA MOYO WAKO.  LAKINI NI VIZURI KUKUMBUKA ULICHOJIFUNZA KATIKA JAMBO HILO.
NAWATAKIENI JUMA JEMA

2 comments:

Penina Simon said...

Ahsante sana mama yangu

Yasinta Ngonyani said...

EEhhh! Dada P..kwanza za masiku nilikumiss haswaa. Karibu sana tena hapa kibarazani kwetu...