Wednesday, October 18, 2017

MSIMU WA JOTO WAELEKEA KIKOMO NA PIA KILIMO KWA HIYO IMENIBIDI NIZICHUME NYANYA ZANGU NA KUZIHIFADHI NDANI....

HAPA HIZI ZAONYESHA MAFANIKIO KIDOGO
 Na hapa sijui zitaiva au zitaoza? mwenye MBINU nyingine TAFADHALI nisaidieni...natumaini nitapata msaada toka kwenu...natanguliza shukrani

Kwa pilipili sina mashaka 

4 comments:

Anonymous said...

Hongera da Yasinta! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Eeehhh kaka Salumu hujambo za madiku. Ahsante. Je una ushauri zaidi vipi nihifadhi?

Prince Emac said...

Wow hongera saana mpendwa

Yasinta Ngonyani said...

Ndugu yangu Prince AHSANTE SANA...SI wajua maisha kujishughulisha