Tuesday, October 3, 2017

KILIMO CHA KARANGA...KULE KWETU LITUMBANDYOSI KINALIMWA SANA

Karanga ni moja ya jamii ya kunde kwa wale wasiojua ila sidhani kuna mtu hajui karanga ni nini. Karanga hulimwa kwa lengo la chakula, kutengeneza mafuta  pia kwa ajili ya malisho ya mifugo.

2 comments:

Prince Emac said...

Tuko pamoja mpendwa

Yasinta Ngonyani said...

Pamoja daima! Ahsante sana kwa michango yako. Maana wazidi kunitia moyo nizidi kublog...