Sunday, August 17, 2014

KUMBUKUMBU YA MAMA ALANA NGONYANI NI MIKA KUMI IMETIMIA TANGU ATOTEKE!!!


MAREHEMU MAMA ALANA NGONYANI 1952-2004
Imetimia miaka 10 tangu ututoke ghafla usiku wa tarehe 17 Agosti 2004 wakati bado tulikuwa tunakuhitaji. Ingawaje kimwili umetutoka, kiroho bado tunakukumbuka. Tunakukumbuka siku zote kwa upendo wako, mawazo yako yaliyojaa busara , ukarimu/ucheshi na malezi bora. Tulikupenda lakini Mungu alikupenda zaidi.
Tunamwomba Mwenyezi Mungu aiweke roho yako mahali pema peponi. AMINA
Na tumkumbuke mama yetu kwa wimbo huu
TUTAKUKUMBUKA DAIMA MAMA

7 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Pumzika mahali pema peponi mama yetu Alana Ngonyani. Umetoka kimwili tu na hii ni njia ya wote

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Mhango! Ahsabte kuwa nami katika siku hii.

Manka said...

Pumzika kwa amani Mama yetu.Pole sana Dada yangu

Yasinta Ngonyani said...

Manka!!! Ahsante ndugu yangu!!

Interestedtips said...

Pumzika kwa Amani mama yetu mpendwa

Rachel Siwa said...

Pole sana Familia ya Ngonyani..Ulale kwa Amani mama yetu mpendwa Mama Ngonyani.

Yasinta Ngonyani said...

Mm A..ahsante kuwa nasi!!!
KACHIKI wa mimi familia yote inakushukuru..