Monday, December 9, 2013

TUANZA WIKI HII NA TAARIFA HII/BUSTANI MPAKA MWAKANI MWEZI WA SITA :-(

 Hapa ilikuwa mwezi wa sita-tisa mwaka huu ..ni kutoka tu nje na kuchuma mboga na kula ......
THELUJI IMEANZA
Na sasa eneo hilo hilo leo linaonekana hivi. Inabidi nisubiri mpaka mwakani mwezi wa sita tena. Kaaazi kwelikweli....mmhhh labda nitumie makopo sijui?? Je mna ushauri wowotw ule?

4 comments:

Anonymous said...

Haya naona mavuno ya mwaka huu tumemaliza, tusubirie kilimo tena mwakani kama ulivyosema. Mie sioni kwa nini uteseka na makopo na hali hii mbaya ya hewa, theluji na kilimo nadhani ni vitu viwili tofauti kabisa. Ila sio mtaalamu ni mawazo yangu tu. Duh in maana hilo shamba letu hatutaliona mpaka mwakani! Siku njema.

Yasinta Ngonyani said...

Usiye na jina ni kweli mavuno yamamalizika na sasa ni kusubiri mpaka mwakani ila vidole vinawasha....na iwe siku njema kwako pia...

Kp said...

Hi,pole dada,kwa kweli huko kwa kilimo hakuna nafuu,na wewe ni mngoni,kama unavyo jua sisi watu Waruma kilimo ni kama kambale na matope,mm naona achana na hicho kiliomo cha kuvizia vizia,
By Theophil kapinga