Friday, December 20, 2013

MWEZI DESEMBA:- A MONTH OF DECEMBER SIMPLY STANDS FOR......

D- days of
E- evaluation
C- celebration
E- encouragment
M- memorizing the
B- blessings
E- establing next year plans and
R- renewing your relationship with God.

BASI NGOJA NIWATAKIENI MWANZO MWEMA WA MWISHO WA JUMA HILI AMBALO LINATUPELEKA SIKUKUU YA KUZALIWA BWANA WETU KRISTO.

4 comments:

Ndugu Nkwazi N Mhango said...

Da Yacinta nami nakutakia mwaka mpya. Ila kuna marekebisho unapaswa ufanye mfano Memoring siju una maana ya memorizing or memorials nadhani umefanya typing errors kwenye establishing.
Kila la heri na ubarikiwe na familia yako na heri ya mwaka mpya na noel nono.

Anonymous said...

Nakutakia mafanikio mema ya mwaka mpya na Merry Christmas in advance! By Salumu.

Yasinta Ngonyani said...

Mwal. Mhango. .ahsabte kwa kugundua hilo nimelishughlikia. Nawe na familia muwe na noel njema sana.

Kaka Salumu nawe pia iwe hivyo hivyo

Salehe Msanda said...

Habari!
Asante kwa kutukumbusha kuhusu mwezi Desemba.
Ni kweli mwezi wa kujikagua,Kujitazama na kutafakari kwa kina na kuamua kutenda kwa mkabala wa kuweza katika masuala yanayohusiana na ustawi wa mtu mmoja mmoja na jamii inayotuzunguka.
Pia ni vyema tukakumbuka kuwa ujio wa mwaka mpya unaashiria mabadiliko katika Nyanja mbalimbali za maisha na ni wajibu wetu kulifahamu hilo na kuaongalia uwezekanoo wa kukabiliana na mabadiliko haya kwa njia isiyoumiza.
Kila la kheri.